SERIKALI YA ZANZIBAR KUREKEBISHA SHERIA YA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amesema  Serikali ya Mapinduzi  Zanzibar itaendelea kufanya mapitio na marekebisho ya sheria ya mfuko wa Hifadhi ya jamii Zanzibar (ZSSF) kwa lengo la kuzingatia maslahi ya watunishi wake. Mhe. Hemed, alieleza hayo wakati akaifungu kikao  maalum cha kujadili utaratibu wa kukokotoa mafao ya watumishi